Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

Wazee wa kukulana hamuwezi muelewa mwenzenu ila kafanya jambo jema sana
Mbona sikafai wema alikuwa shafanya kwa kuwaokoa kutoka kwa hao wahuni. Sasa jema lingine ingekuwa kuwagegeda mpaka watoe kojo
 
Mkuu ulifanya jambo jema sana kuwasaidia bila kuingiza mambo ya ngono na Mungu alizidi kukubariki ulipowasaidia

Ila wazee wa kula tunda kimasihara hawatakuelewa kabisa jiandae kwa mapovu yao
Kuwasaidia alikuwa ameshawasaidia kwa kuwapa hifadhi,
kilichofuata ni kula tunda kimasihara, alafu tunakutana na story yake ya kula tunda kimasihara kwenye ule uzi wetu pendwa
 
Hongera Mkuu mpo wachache, mafisi wasingewaacha hao wadada salama
 
Mkuu umeandika "kusubili gari" kwanini unsingemalizia makosa kabisa uandike "kusubili gali"?

Alafu eti kuna mahali umesema ilibidi baada ya kushuka kituoni wachukue bodaboda au pikipiki. Kwani hizi vyombo ni vitu viwili tofauti huko kwenu?
Na ametumia sana neno NIKABIDI

Kwenye kiswahili tuna IKABIDI tu
 
Acha hadithi, wakati wako tu ulikua umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…