Ndio wanavaa sare za jeshi?Acha zako wewe shughuli yao kuu ni kufanyia kampeni Uhuru Kenyatta. Huoni gavana wa Kirinyaga, Her Excellency, Minji Minji hapo kwenye picha?
With Military Uniforms? What will happen kama akina mama wa NASA wakivaaa Military Uniforms wao pia next akina mama wa Red brigade watabeba bundukiNi campaigns tu stop over thinking.... Naona waiguru, laboso na kihika senator wa nakuru
Kwani kuna makosa? We unataka kuchagulia kina mama nguo watakazo vaa? Kwani 'combat' kama zinavoitwa mitaani zinavaliwa na wanajeshi pekee yake?Ndio wanavaa sare za jeshi?
Mitanzania bana yaani mtu akivaa 'combat' amekuwa mwanajeshi? Hizo nguo hata machifu Kenya wanavaa! Wala si ishu.Ndio wanavaa sare za jeshi?
Ata mimi ninayo na huivaa bila kuulizwa swali....mada ya kijinga hiiMitanzania bana yaani mtu akivaa 'combat' amekuwa mwanajeshi? Hizo nguo hata machifu Kenya wanavaa! Wala si ishu.
Mara kibao Kenya ukipatikana umevaa hizo 'nguo za kijeshi' huwa wanaangalia kama ni G.O.K issue kama sio wanakuacha tu. Wakikunyang'anya labda wameipenda na wanataka waivae wao. Au wanataka utoe kitu kidogo. Naskia jwtz wakikupata nazo wanakuua! Hehe. Kweli jwtz ndo jeshi bora E.A.Ata mimi ninayo na huivaa bila kuulizwa swali....mada ya kijinga hii