Hili Jeshi La Kina Mama wa Jubilee Inaamanisha Nini ?

Hili Jeshi La Kina Mama wa Jubilee Inaamanisha Nini ?

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
image.jpeg
image.jpeg
Kuanzishwa kwa kikundi cha akina cha kina mama kwa jina Jubilee Women Brigade kimezua maswali mengi nchini Kenya. Hawa kina mama huwa wanavaa nguo za kijeshi ambapo inaenda kinyume cha sheria ya Kenya.
Wanachama wengi wa kikosi hiki ni kina mama wanaotoka jamii ya wakikuyu.
Uchaguzi wa marudio unategemewa kufanyika 26 October 2017 je hii ni dalili ya kuanzishwa kwa Interhamwe nyingine nchini Kenya?
 
umakini na hekima inahitajika sana ili kupita kipindi hiki kigumu.
 
Acha zako wewe shughuli yao kuu ni kufanyia kampeni Uhuru Kenyatta. Huoni gavana wa Kirinyaga, Her Excellency, Minji Minji hapo kwenye picha?
 
Stupid people ......dressing stupidly after cambridge analytica suggested it!!!....they will trigger the wrong perception hawatapenda
 
Acha zako wewe shughuli yao kuu ni kufanyia kampeni Uhuru Kenyatta. Huoni gavana wa Kirinyaga, Her Excellency, Minji Minji hapo kwenye picha?
Now Gavana wa Kirinyaga amekuwa Warlord.
 
Ni campaigns tu stop over thinking.... Naona waiguru, laboso na kihika senator wa nakuru
 
Kuna vitu waafrika huwa tunafanya kuna SAA natamani hata turudishwe porini kidogo akili zi mature tu behave kama watu kamili
 
Ni campaigns tu stop over thinking.... Naona waiguru, laboso na kihika senator wa nakuru
With Military Uniforms? What will happen kama akina mama wa NASA wakivaaa Military Uniforms wao pia next akina mama wa Red brigade watabeba bunduki
 
Ata mimi ninayo na huivaa bila kuulizwa swali....mada ya kijinga hii
Mara kibao Kenya ukipatikana umevaa hizo 'nguo za kijeshi' huwa wanaangalia kama ni G.O.K issue kama sio wanakuacha tu. Wakikunyang'anya labda wameipenda na wanataka waivae wao. Au wanataka utoe kitu kidogo. Naskia jwtz wakikupata nazo wanakuua! Hehe. Kweli jwtz ndo jeshi bora E.A.
 
Back
Top Bottom