Hili jiji ni balaa

Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
...Hii hii Darisalama hii, ama umeona vibaya Mkuu ??? [emoji45][emoji45]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Sishangai hata kidogo kama tu mchana kweupe wanawake wanacheza hadi kubaki tupu,sembuse kwenye kuta za club. Shetan mwenyewe alipo anashangaa jinsi mambo yanavyoenda
shetani wap hulka za watu hizo kwan adam na eva walipokuwa wakitembea uchi alikuwa shetan mnaacha tushangilie tunalud kama mwanzo bustan ya eden mnakaa kuwaza shetan??
 
Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
Umemwambia Chalamila!? Yeye anasemaje!!?
 
Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
Uliambiwa uende hili halituhusu chief
 
Hili jiji hata FIRAUNI angekuwa anaishi hapa lingemshinda. Maana kinachoendelea watu wanamfundisha shetani nini cha kufanya na sio yeye shetani awafundishe watu nini cha kufanya. Wanayoyafanya binadamu katika jiji hili hata shetani hajawahi kuyafanya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…