BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Hii hii Darisalama hii, ama umeona vibaya Mkuu ??? [emoji45][emoji45]Jamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app