Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HatariJamani Dar es salaam ni noma, nimeona clip kuna club za usiku watu wanacheza uchi wa mnyama na wengine wanaenda mbali zaidi wanavunja mri ya sita hadharani. Mungu atunusuru na kuzimu.
😂😂😂😂🙆Kesho uje tena dogo
Kama anamsambwanda tunamuiba jumla ukaoe tenaHuko club mpeleke mke wako
Atakayoyaona huko atakutii mpaka umauti.
Ko shida yako wee ni mkeo akutiii tyuuh?Huko club mpeleke mke wako
Atakayoyaona huko atakutii mpaka umauti.