wanavaa mizura?? auwazura
Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.
Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
In bobo kwanguTusioitwa kina raheli tunakomenti wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yakobo sijui alipenda nini kwa Raheli.Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.
Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo wapi huko?In bobo kwangu
Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]
Yakobo sijui alipenda nini kwa Raheli.