Hili jina lilishaingiliwaga na pepo la ngono tokea enzi na enzi.

Hili jina lilishaingiliwaga na pepo la ngono tokea enzi na enzi.

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,741
RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
 
Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.

Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
 
Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]

Hahahahhaaa enzi za ushiboy eehhh....

Nakumbuka nilishakuanzishiaga uzi humu JF kuwa wewe ndo kibabu wa Kasie.....

Maskini wakati ukuta, sijui ilikuwaje tukaachana.... Enzi zile nikiwa Kasinde.

Stay with memory man, Kasie ni Matata tuu.
 
Back
Top Bottom