Hili jina lilishaingiliwaga na pepo la ngono tokea enzi na enzi.

Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.

Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Ila Jacob hakuwa wa mchezo aisee!
Kuna wakati namuwazia bila kupata majibu.
Miaka 7 + 7 = tena hapo hakuwahi hata kumla kabla ya ndoa!

Only God knows
 
Jina langu halijawahi kuzungumzwa humu au nipo mars sio earth, ngoja nimuulize jirani yangu hapa tuko wapi saiv ili tukifika duniani wanishushe
unaitwa nani? au ndo nyie mnaitwa kina SIKUZANI
 
Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.

Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]
Hahahahhaaa enzi za ushiboy eehhh....

Nakumbuka nilishakuanzishiaga uzi humu JF kuwa wewe ndo kibabu wa Kasie.....

Maskini wakati ukuta, sijui ilikuwaje tukaachana.... Enzi zile nikiwa Kasinde.

Stay with memory man, Kasie ni Matata tuu.
 
Asee mtoa mada na ww umekigonga hiki kirecho? Kinagawa sana nyapu hiki kidem ingawa kimebarikiwa wowowo
mwanangu nimekula kinarecho kadhaa yan mpaka nimeleta uzi nina ushahdi, hili jina balaa.
 
Hahahahahahhaaaaa from your red highlights..... That's a biblical story based.

From JF point of view, Ushiboy na Kasinde were friends.

Now he is Ushimen and am Kasie.
 
Mi langu hata mtu kulihisi sio rahisi.
Ndo linaanzia na S!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi langu ni common mno siwezi hata kulitaja lakini kuna tamaduni za kikwetu tunapewa majina mawili sasa sijui nasimamia wapi hapo??

Manake moja likikandiwa nahamia upande mwingine means nakana jina lililokandiwa
 
Eeeh linaanza na S. Mwenyewe Nina majina matatu
 
Pia japokuwa tunawatafsiri akina Raheli vibaya ila hawachelewi kuolewa na hugombaniwa sana na vidume.

Kwenye kuolewa sina uhakika napo ila kwenye kugombaniwa na vidume nimeshuhudia mara kadhaa.
 
Eeeh linaanza na S. Mwenyewe Nina majina matatu
Nililisoma siku fulani humu ulijisahau ukajiita hivyo

Majina mengi yana faida japo mi lile la kiasili ndo huwa nalipa nguvu kuwa huyu ndo mimi

Haya ya kizungu sizingatii saaana
 
Nililisoma siku fulani humu ulijisahau ukajiita hivyo

Majina mengi yana faida japo mi lile la kiasili ndo huwa nalipa nguvu kuwa huyu ndo mimi

Haya ya kizungu sizingatii saaana
Hahahahaa.. Nawekaga initial tu sijawahi taja jina langu lote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…