Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,564
- 55,570
Rachel/raheli [emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706]rachel ndo itakua aka yenu ili muwe watamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rachel/raheli [emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706]rachel ndo itakua aka yenu ili muwe watamu.
Ila Jacob hakuwa wa mchezo aisee!Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.
Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Ila Jacob hakuwa wa mchezo aisee!
Kuna wakati namuwazia bila kupata majibu.
Miaka 7 + 7 = tena hapo hakuwahi hata kumla kabla ya ndoa!
Only God knows
Siwazuri labdaunaitwa nani? au ndo nyie mnaitwa kina SIKUZANI
Pia japokuwa tunawatafsiri akina Raheli vibaya ila hawachelewi kuolewa na hugombaniwa sana na vidume.Only God knows what Jacob sees and was in need of it from Raheli.
Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.
Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Mkuu, nimekumbuka mbali sana...[emoji55] [emoji55]
Hahahahhaaa enzi za ushiboy eehhh....
Nakumbuka nilishakuanzishiaga uzi humu JF kuwa wewe ndo kibabu wa Kasie.....
Maskini wakati ukuta, sijui ilikuwaje tukaachana.... Enzi zile nikiwa Kasinde.
Stay with memory man, Kasie ni Matata tuu.
Ukiwa na kina unique raha sana.Jina langu halijawahi kuzungumzwa humu au nipo mars sio earth, ngoja nimuulize jirani yangu hapa tuko wapi saiv ili tukifika duniani wanishushe
Ni common sana tu sema halizungumziwi humuUkiwa na kina unique raha sana.
Mi langu hata mtu kulihisi sio rahisi.Ni common sana tu sema halizungumziwi humu
Ndo linaanzia na S!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi langu hata mtu kulihisi sio rahisi.
Eeeh linaanza na S. Mwenyewe Nina majina matatuNdo linaanzia na S!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi langu ni common mno siwezi hata kulitaja lakini kuna tamaduni za kikwetu tunapewa majina mawili sasa sijui nasimamia wapi hapo??
Manake moja likikandiwa nahamia upande mwingine means nakana jina lililokandiwa
Pia japokuwa tunawatafsiri akina Raheli vibaya ila hawachelewi kuolewa na hugombaniwa sana na vidume.
Nililisoma siku fulani humu ulijisahau ukajiita hivyoEeeh linaanza na S. Mwenyewe Nina majina matatu
Hahahahaa.. Nawekaga initial tu sijawahi taja jina langu lote.Nililisoma siku fulani humu ulijisahau ukajiita hivyo
Majina mengi yana faida japo mi lile la kiasili ndo huwa nalipa nguvu kuwa huyu ndo mimi
Haya ya kizungu sizingatii saaana