Hili jina lilishaingiliwaga na pepo la ngono tokea enzi na enzi.

Mtoa mada umeandika kwa hisia sana bila shaka huyu Rachel/Raheli amekufanyia kitu kilichokusukuma kuja kuandika haya.

Put yourself together nigga msahau Rachel and move on
 
RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Halafu wengi wao wana ngoma na wanajua sana michezo
 
Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.

Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Tena Biblia inasema Rachel(Raheli) alikuwa mzuri sana na mwenye macho ya kuvutia na umbo zuri sana kiasi Jacob akapagawa kwa uzuri wa Rachel, tena hakuwa mzuri tu bali alikuwa "bikira" pia, soma MWANZO 29:17-18
 
RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Wala hujakosea mkuu, nawajua km 7 hivi wote warembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…