Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndo yule aliekupa ofa ya rafiki?aisee wanagawa sanaaa ila tunawapenda hivyo hivyo yan
Na wewe unawajua?Kina Rachel wanakuaga sio wachoyo na uzuri wanakuaga nao. Na hawawagi wapole
Nawajua ndioNa wewe unawajua?
Shemeji sio kwa kupotea hukoAisee!
Kule chitchat si umelitolea mfano weweMi langu hata mtu kulihisi sio rahisi.
Hata ile gladays sio wewe kweliHahahahaa.. Nawekaga initial tu sijawahi taja jina langu lote.
Halafu wengi wao wana ngoma na wanajua sana michezoRACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Kuan mmoja nammezea mate ngoja nije nikusumbue na maswaliNawajua ndio
Kabisa mkuu yaani balaa tupuHao wanakuaga wazuri ila wagawa uchi balaa
Wanahuruma balaa
Tena Biblia inasema Rachel(Raheli) alikuwa mzuri sana na mwenye macho ya kuvutia na umbo zuri sana kiasi Jacob akapagawa kwa uzuri wa Rachel, tena hakuwa mzuri tu bali alikuwa "bikira" pia, soma MWANZO 29:17-18Nimemfikiria Raheli wa kwenye biblia aliyechumbiwa na Jacob badala yake akapewa Leah. Ila kwa kuwa alimnuia Raheli akatumika tena miaka 7.
Kwenye uzuri na mvuto nakubaliana na wewe ila kwenye pepo la ngono sina hakika.
Wala hujakosea mkuu, nawajua km 7 hivi wote warembo.RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Pm kwangu[emoji23]Tusioitwa kina raheli tunakomenti wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pm ndo wapi huko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pm kwangu[emoji23]
Umenifanya niifikirie jinsia yako mara mbilimbiliKina Rachel wanakuaga sio wachoyo na uzuri wanakuaga nao. Na hawawagi wapole