Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Nimegeuka nikashangaa hakuna recho ila kuna mmoja alinifuatilia tangu primary kaja kunipata kwenye 45+RACHEL(Recho), popote utakapopita ukiskia dada anaitwa we recho geuka umwangalie nakwambia hautojuta kugeuza shingo yako wanakuaga wazuri ni balaa hata kama sio uzuri wa sura basi kuna mvuto flani wa mapenzi atakuanao piga ua na wala sio wa choyo..
Hahahaha