Hili jina limenifurahisha sana

Hili jina limenifurahisha sana

Naomba kufahamu kama kuna mtaalamu yoyote wa majina yetu ya kibantu atueleze kwa kina asili ya hili jina Kesho Mshahara kwa kweli mimi mwenyewe nimevutiwa nalo sana na pia limeniacha na changamoto kadhaa ikiwemo kujua Baba Askofu ana asili ya wapi na nini hasa maana ya yeye kuitwa jina hilo naomba kuwasilisha
 
Jamani kama mpo njooni na ufafanuzi
 
Askofu Aberdnego Keshomshahara ni Mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi-Kagera
Keshomshahara ni jina la baba yake asiri Muhaya jina ilo alilipata kutokana na kazi zake ambapo alikuwa karani wa chama cha msingi wakinunua kahawa uyu kwasababu hakukuwa na mifumo ya kibenki fedha zilisafilishwa kwenye viroba yeye anazipokea anazihizadhi kwenye sefu alafu anatoka ofsini anazunguka na baiskeli na kuwatangazia wanakijiji kuwa kesho yake kuna mishahara "kesho mshahara, kesho mshahara"basi jina likamkaa vizuri mpaka alipostaafu aliitwa jina hilo.
Kwa msaada wa makamu wa Askofu.
Jamani majina ya kibantu ni hazina.

Askofu Abednego KESHOMSHAHARA.
 
Back
Top Bottom