Hili jina limenifurahisha sana

Hahaha
 
Nyuma sanane, Maisha ng'ombengeni nilisoma nao O-level.
 
Ahsante!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]dah
Watu wanaweza kudhani hili jina ni la utani, lakini huyu jamaa Kukutia Ole Pumbuni alikua maarufu kwenye medani za kimahakama kwa sababu kesi yake sina hakika kama ni ya jinai au madai ilikua ni reference kwenye kesi zingine
 
Kwenye harakati za kutafuta mishe mjini, nlikutana na jamaa anaitwa TUKUTANE JUMANNE. Sikuelewa mapema mpaka aliponielewesha ni jina kama majina mengine.
 
Kuna majina kuyatamka yapasa uwe umeshiba na hauna pombe kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…