Mzuka wanajamvi!
Asee watu wangu wa nguvu yani hili jina Makutopora limekaa kushoto sana. Yani hadi kulitamka tu unaona aibu. Na ndio hapo treni yetu ya Kisasa SRG ya umeme ina Kituo.
Kumbuka kuna mabalozi wa ulaya na wazungu wanatumia hii treni na kushuka sasa wanajisikiaje wakilitamka ama likitamkwa.
Mbona lisibadilishwe likaitwa Dorset, picturesque, Greenfield, Yorkshire, Bolton, spring valley, Berkshire, Birmingham, Ipswich n.k
Yani majina yote matamu matamu tumebakia kukomaa tuu na Ngerengere, Pugu, Bonyokwa, Itigi, Nyarugusu, Mbauda, Tandika, Pegere, Mburahati, Buza, keko Magurumbasi, Kilawani, Kizudu, Bunju hadi mitaa ya kishua eti Mbweni come on guys tubadilike ndo maana hatuendeleii majina pia ni laana na baraka.
Angalau Oysterbay imetuokoa.