Hili jina utopolo fc sijui upotolo fc mnatukera sana!

Iharibiwe mara ngapi? Sasa hivi Utopolo ndiyo mpango mzima. Au kati ya majina haya lipi lina nafuu:-Kandambili,yeboyebo, gongowazi,kwasukwasu na Bakuli FC?
 
Utopolo FC[emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Unge ambatanisha kavideo kidogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] tatizo LA watanzania ukikasirika katka utani ujue umekwisha na hilo jina unazidi kulikuza [emoji23][emoji23]
 
Jina lnaendana na timu yenyewe bfs sababu ya kumlaum hyo jamaa alieleta ilo jna
 
Utopolo fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…