BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
khaaaaaa!!! miezi 6!!!Unafikiri mke akiwa mjamzito mshahara huwa automatically unaongezeka wapi. Na mama mkubwa wa mke wako ndiye anaejua kumhudumia mzazi. Anaishi na nyinyi kwa miezi sita akimfundisha wife ulezi.