Hili joto kupikia jiko la gas kwenye chumba na sebule ni mateso

Unafikiri mke akiwa mjamzito mshahara huwa automatically unaongezeka wapi. Na mama mkubwa wa mke wako ndiye anaejua kumhudumia mzazi. Anaishi na nyinyi kwa miezi sita akimfundisha wife ulezi.
khaaaaaa!!! miezi 6!!!
 
kwa nini unaajiri mdada kama una chumba na sebule tu?????? najiuliza tu
Usinikumbushe nilivyopokea vipande kwenye huu uzi
 
Pole Sana!!
 
Huku kwetu mfereji wa maji ya bafuni unapita dirishani, kufungua milango na madirisha kuna leta kero ya nzi na harufu.
Ahaah, hayo maisha Kama ya jela aisee, vyoo havina milango watu wanashusha mizigo,kwa pembeni Wengine wamekaa wanakula,Wengine wanasokota bange!
Maisha ya tandale na mbagala hayo
 
Hama tafuta Nyumba yenye ceiling board kwani unakaa bure
 
Ni kumshukuru Mungu na kupambana ili uweze kujenga Nyumba yako, bora wewe Chumba na Sebule mwingine ni Chumba kimoja tu kila kitu hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…