Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kwa ufupi sana

Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.
Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu,yaani limemtokea jamaa yake au mtu mwingine. Unaleta stori ya kugongewa halafu unatuambia "Jamaa yangu amegongewa mke"

Mabro Big boys tunawasoma tu, tunawachora mnavyoficha isijulikane kama yamekukuta mzee mwenzangu.

Hili Jukwaa ni letu,let us be open and speak out
 
Pole kwa kutendwa na kugongewa mke kaka, you'll heal soon ni suala la muda tu.. [emoji68]‍🦯
 
Back
Top Bottom