Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

Hili jukwaa ni lenu wanandugu, msitufiche vitu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kwa ufupi sana

Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.

Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau wengi wakiandika matukio haya hujifanya kama ni tukio lisilomuhusu, yaani limemtokea jamaa yake au mtu mwingine.

Unaleta stori ya kugongewa halafu unatuambia "Jamaa yangu amegongewa mke" Mabro Big boys tunawasoma tu, tunawachora mnavyoficha isijulikane kama yamekukuta mzee mwenzangu.

Hili Jukwaa ni letu, let us be open and speak out.
 
Nina girlfriend wangu tunapendana sana, ila sasa tuko mikoa tofauti kwa sababu furani furani sasa huwa nikiongea nae anakuwa kama vile ananiuliza vipi mwenzangu hajambo, nikimwambia hayupo, bas anasema ata akiwepo awepo tu ila anacho dai nisimuumize tu, yan huwa inanikata sana iyo kauli, alafu si mara moja. Ina maana gani hii wakuu

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuamini
 
Yaani wewe jamaa unataka tuchume wenyewe fimbo za kuchapiwa humu jukwaani.

Huku ukizingua kidogo tu wadau wanaenda kufukua uzi au comment yako hata kama ni ya mwaka 47 huko.
Hapa ndo pabaya...ingewezkana ukala mchongo na modz wakatoa uzi za nyuama amabazo ulijimwambafi atleast kungekuwa na unafuu
 
Back
Top Bottom