Hili kanisa sijui lina waumini wangapi

Hili kanisa sijui lina waumini wangapi

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao
Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?

20230106_185627.jpg
 
Itakua Mama John hapo km sio kule maeneo ya Nzovye, basi itakua sio mbali na Sido au SokoMatola sema haufiki Teku
 
Wakutanapo wawili au watatu kwa jina lake(Kristo) yupo kati yao
 
Back
Top Bottom