EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Jan 6, 2023 #1 Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
Naona mabenchi matatu tu.Sijui waumini wanakuja na mabenchi yao Mvua ikianza kunyeshq bila shaka na ibada inaishia hapo hapo,otea makanisa ya design hii huwa yanapatikan wapi?
G gefa Senior Member Joined Apr 4, 2014 Posts 178 Reaction score 160 Jan 6, 2023 #2 Mwakaleli hii kubabake!!!!π€£π€£π€£
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Jan 6, 2023 #3 Waabudu Halisi Imewapasa kumuabudu Mungu Katika Roho na kweli. Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Yohana 4:23.
Waabudu Halisi Imewapasa kumuabudu Mungu Katika Roho na kweli. Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. Yohana 4:23.
92 jerrie JF-Expert Member Joined Feb 28, 2022 Posts 7,273 Reaction score 16,705 Jan 6, 2023 #4 Eeeehhh πππππ
Jipu JF-Expert Member Joined Apr 20, 2015 Posts 2,950 Reaction score 6,215 Jan 6, 2023 #5 Mwanzo mgumu.
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,204 Jan 7, 2023 #6 Huwa tunakaa chini, tupo wengi sana
stow away JF-Expert Member Joined Dec 5, 2022 Posts 11,073 Reaction score 21,945 Jan 7, 2023 #7 Itakua Mama John hapo km sio kule maeneo ya Nzovye, basi itakua sio mbali na Sido au SokoMatola sema haufiki Teku
Itakua Mama John hapo km sio kule maeneo ya Nzovye, basi itakua sio mbali na Sido au SokoMatola sema haufiki Teku
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jan 7, 2023 #8 fullcup said: Huwa tunakaa chini, tupo wengi sana Click to expand... Kama wanavyoshonana madarasa ya St. Kayumba
fullcup said: Huwa tunakaa chini, tupo wengi sana Click to expand... Kama wanavyoshonana madarasa ya St. Kayumba
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jan 7, 2023 #9 Wakutanapo wawili au watatu kwa jina lake(Kristo) yupo kati yao