Hili Kombe la Dunia limenichafulia ladha ya Mpira wetu wa Bongo NBC

Hili Kombe la Dunia limenichafulia ladha ya Mpira wetu wa Bongo NBC

General Nguli

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2022
Posts
1,190
Reaction score
2,508
Kuoneshwa kwa Kombe la Dunia na kufuatiliwa kwa karibu na watu wote imesababisha kupunguza ladha kwa soka letu la kivyetu vyetu.

Mood tuliyo nayo kwa walio wengi sio tena kwa Chama wala Azizi K bali ni kwa Mess na Mbape.

Imefanya tuonekane kama watoto tunao cheza matopeni. Yaani kila kitu kimeharibiwa mood na kombe la Dunia.

Umaskini wetu unatukosesha ladha nyingi sana Ulimwenguni.

Na mwisho wa siku wote tuna chomwa moto pamoja na Wazungu lihali wao hapa Duniani wao wameponda raha kuliko sisi blacks.
 
Back
Top Bottom