Poleni kwa kulambishwa ice creamBingwa anapewa sh ngap?
Kwa mdhamini yupi?
Shadeeya nijibieYanga Vs Azam ngapi ngapi
Na haya yenu je?Nimecheka Comment za Mikia tu hapa.
Limekaa kama kinu jamaani lile kombe kwani uongo. [emoji41][emoji41]
Hahahaaa. Bora hata hilo Mtani.Na haya yenu je? View attachment 1111044
Wewe wasema, hivi mngeshinda mngepewa lipi zaidi ya hiloHahahaaa. Bora hata hilo Mtani.
Yaani kombe hata halishawishi wachezaji kulifurahia Mtani. [emoji3][emoji3][emoji3] au ndio hujaona wachezaji walivyozubaa nalo?
Sasa hapa si mmeshinda nyie Mtani.Wewe wasema, hivi mngeshinda mngepewa lipi zaidi ya hilo
Mfano sasa ndio mngeshindaSasa hapa si mmeshinda nyie Mtani.
πππ tutazunguka hapo hapo Mtani.Mfano sasa ndio mngeshinda
π ni wivu tu, halafu usipotezee kuwa hujaona swali la matokeo yenu ya janaπππ tutazunguka hapo hapo Mtani.
Ila mwisho wa siku kombe halina tofauti na KINU πππ
Hahahaaaaa. lol.π ni wivu tu, halafu usipotezee kuwa hujaona swali la matokeo yenu ya jana
[emoji16]Naangalia hili kombe ambalo wanakabidhiwa simba Leo uhakika ni Kama kinu, hakuna ubunifu wala halileti mvuto kulitizama
Hili kombe kwa wahenga wenzangu mtakumbuka yalitumika miaka ya 80 kurudi nyuma
Kwaharaka haraka gharama ya kuunda au kutengeneza kombe sidhani km inazidi milioni kumi
Tff hii inazidiwa na fat ya mzee ndolanga
Tff hii inaendeshwa kimjini mjini sana wamejaa wazee wa 10 parcent pale karume
Sahihi kabisaSimba shida hata haikuwa hilo kombe hata kama lingetengenezwa kwa almasi, shida yetu ni KUWA MABINGWA TENA KWA KUWAPIGA MABAO Vyura FC!
Nyie Omba omba FC mkilihitaji mje tuwapeni ili mridhike sasa!!!
Ukiyapata uni mentionHahahaaaaa. lol.
Kwani yalikuwaje mana jana nilikuwa shamba Mtani? ππ