Hili kombe la TPL lipo Kama kinu (hovyo)

Hili kombe la TPL lipo Kama kinu (hovyo)

Nimecheka Comment za Mikia tu hapa.

Limekaa kama kinu jamaani lile kombe kwani uongo. [emoji41][emoji41]
Na haya yenu je?
FB_IMG_1558637529272.jpeg
 
Inaonyesha Yanga waliliona wakapunguza kasi ili lisiwaangukie.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mara ya mwisho kuona kombe kama hilo, ni ule mwaka tulioshinda UMITASHUMTA [emoji1787]
 
Naangalia hili kombe ambalo wanakabidhiwa simba Leo uhakika ni Kama kinu, hakuna ubunifu wala halileti mvuto kulitizama
Hili kombe kwa wahenga wenzangu mtakumbuka yalitumika miaka ya 80 kurudi nyuma

Kwaharaka haraka gharama ya kuunda au kutengeneza kombe sidhani km inazidi milioni kumi

Tff hii inazidiwa na fat ya mzee ndolanga
Tff hii inaendeshwa kimjini mjini sana wamejaa wazee wa 10 parcent pale karume
[emoji16]
IMG-20190528-WA0054.jpeg
 
Simba shida hata haikuwa hilo kombe hata kama lingetengenezwa kwa almasi, shida yetu ni KUWA MABINGWA TENA KWA KUWAPIGA MABAO Vyura FC!

Nyie Omba omba FC mkilihitaji mje tuwapeni ili mridhike sasa!!!
 
Simba shida hata haikuwa hilo kombe hata kama lingetengenezwa kwa almasi, shida yetu ni KUWA MABINGWA TENA KWA KUWAPIGA MABAO Vyura FC!

Nyie Omba omba FC mkilihitaji mje tuwapeni ili mridhike sasa!!!
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom