rubby110 Member Joined Apr 4, 2012 Posts 20 Reaction score 6 May 30, 2016 #1 kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,625 Reaction score 8,639 May 30, 2016 #2 Nitapigana hapo NSSF siku hiyo mpaka washangae
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 May 30, 2016 #3 Kwenye sekta za umma tu?