Hili kundi liko wapi na linafanya nini kwa sasa??

Hili kundi liko wapi na linafanya nini kwa sasa??

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Habari za weekend wadau wa Celebrit Forum.

Kuna kundi lililokuwa linaundwa na mabinti wanne, walikiwa wakiimba nyimbo za Injili kama sikosei.

Kuna wimbo waliwahi kuimbia Tanzania.. "Tanzania you are so beautiful, Tanzania you are Land of peace in World"

Nimesahau jina la kundi hili, naomba kufahamu walipo na wanafanya nini kwa sasa....


Wasalaam

CL
 
Kundi la mabinti yes mama yao ni mtu wa serikalini na ndio manager wao.
 
J sisters. Mama yao ni Asumpta Mshana, mbunge wa Nkenge huko Kagera, kama nitakuwa sijakosea. Hata Mimi sijui wako wapi kwa sasa.
 
Mara ya mwisho kuona nyimbo yao ni ile Take the Victory.....sijui waliifanyia majuu vile!

No more info kwakweli!
 
Watakuwa wanasoma na wameshindwa kushika mawili kwa wakati mmoja!

cc
Mbunge wa nkenge
 
Back
Top Bottom