Mkuu hapo nilikuwa natoa siri ya kambi tu ila mm ni mwananchi lialiaKwani Kuna shida gani wakifanya hivyo?
Sawa anacheka mwisho wa safari ndio mshindi. Majigambo yataisha muda ukiwadia, tushazoea majigambo.toka zama za zahera [emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu mwishon inalalamikiwa tff na bodi ya ligi tupo tuzidi kuomba uhaiYaaa muda ni mwalimu zuri ila kama una timu ya kuongelea ila kwasababu ww hauna timu pale basi hauna haja ya kusema ujipe muda
Ww huu msimu fanya ku cancel
Sasa mnalia nini, si mkae kimya, mjue mambo yamebadilika mkiweka mguu tunaweka ugoko, atutaki visingizio vya kijinga kijinga sisi, chezeni mpira uwanjani ayo mengine ayatowasaidia chochote kwa sasa yanga imejipanga nje ya uwanja na ndani ya uwanja ile michezo yenu mliyokuwa mnafanya misimu iliyopita safari hii haina nafasi tutawasulubu kimya kimya mpaka mtaelewa tuUtawala wa yanga upi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa timu ipi..? Na mipango ipi..?
Hahahh aya bwanaSasa mnalia nini, si mkae kimya, mjue mambo yamebadilika mkiweka mguu tunaweka ugoko, atutaki visingizio vya kijinga kijinga sisi, chezeni mpira uwanjani ayo mengine ayatowasaidia chochote kwa sasa yanga imejipanga nje ya uwanja na ndani ya uwanja ile michezo yenu mliyokuwa mnafanya misimu iliyopita safari hii haina nafasi tutawasulubu kimya kimya mpaka mtaelewa tu
Hela za motisha Ni za GSM kuhakikisha Yanga anachukua ubingwae kuwafukuza mashabiki.ππππππ πππ ππππ ππππ πππππππ
[emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA!!!
[emoji404]Ndo waje wapewe MOTISHA milioni 10 kwenye league tena mechi waliotoka sare!!!
[emoji404]Biashara United wametoa wapi hiyo hela!! Kwa nn wasingewapa wachezaji motisha kwa kushinda mechi za kimataifa waje wapewe kwenye league!!
[emoji404]Team almanusura ishindwe kusafiri kwenda Djibouti [emoji1089] kwa ajili ya mechi sababu ya UKATA na kuja kufanikiwa kusafiri siku ya mechi baada ya kuhangaika sana!!!
[emoji404]Leo hii et anatoka mtu anasema anatoa MOTISHA million 10!! Alikuwa wapi hapo awali!!
[emoji404]Na bado michezo yote Simba SC Tanzania watakayocheza ya TPL basi timu pinzani watapata Bonus Endapo watabahatika kupata Sare... au kushinda.... hii ishaeleweka na nawajuza tu mashabiki ambao mulikuwa hamujui...
[emoji404]Simba wapo ktk vita nzito ili kutetea ubingwa wake na wanatakiwa kuelewa ivyo... na sina shaka na uongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Try Again nadhani washalijua hilo......
kwenu studio[emoji2223][emoji2223][emoji2089]
#Dibahvansports
copy and paste