Hili la Biashara kupewa 10M kama motisha baada ya kutoa sare kuna ukweli?

Hili la Biashara kupewa 10M kama motisha baada ya kutoa sare kuna ukweli?

Yaaa muda ni mwalimu zuri ila kama una timu ya kuongelea ila kwasababu ww hauna timu pale basi hauna haja ya kusema ujipe muda

Ww huu msimu fanya ku cancel
Sawa anacheka mwisho wa safari ndio mshindi. Majigambo yataisha muda ukiwadia, tushazoea majigambo.toka zama za zahera [emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu mwishon inalalamikiwa tff na bodi ya ligi tupo tuzidi kuomba uhai
 
Utawala wa yanga upi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa timu ipi..? Na mipango ipi..?
Sasa mnalia nini, si mkae kimya, mjue mambo yamebadilika mkiweka mguu tunaweka ugoko, atutaki visingizio vya kijinga kijinga sisi, chezeni mpira uwanjani ayo mengine ayatowasaidia chochote kwa sasa yanga imejipanga nje ya uwanja na ndani ya uwanja ile michezo yenu mliyokuwa mnafanya misimu iliyopita safari hii haina nafasi tutawasulubu kimya kimya mpaka mtaelewa tu
 
Mbona hata sisi mwaka jana tuliwapa coastal union mzigo baada ya kuifunga Yanga?
 
Sasa mnalia nini, si mkae kimya, mjue mambo yamebadilika mkiweka mguu tunaweka ugoko, atutaki visingizio vya kijinga kijinga sisi, chezeni mpira uwanjani ayo mengine ayatowasaidia chochote kwa sasa yanga imejipanga nje ya uwanja na ndani ya uwanja ile michezo yenu mliyokuwa mnafanya misimu iliyopita safari hii haina nafasi tutawasulubu kimya kimya mpaka mtaelewa tu
Hahahh aya bwana
 
Kwani timu ndogo ikipewa zawadi au motisha kwa kuifunga timu bora ya simba kuna ubaya?
 
Lkn mm naiona hii style ya kutoa motisha kwa timu yoyote inayo cheza na SIMBA ni Big ADVANTAGE kwa CLUB ya SIMBA kwani katika kila GAME SIMBA atakayo kuwa anacheza timu itakuwa na umakini wahali ya juu na kutumia akili na kuwa na 100% concentration ya kila GAME ktk msimu wote wa league ni kitu kizuri kwa SIMBA.
 
𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐃𝐀𝐃𝐀 𝐋𝐘𝐋𝐘 𝐋𝐈𝐋𝐈𝐀𝐍𝐄

[emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA!!!

[emoji404]Ndo waje wapewe MOTISHA milioni 10 kwenye league tena mechi waliotoka sare!!!

[emoji404]Biashara United wametoa wapi hiyo hela!! Kwa nn wasingewapa wachezaji motisha kwa kushinda mechi za kimataifa waje wapewe kwenye league!!

[emoji404]Team almanusura ishindwe kusafiri kwenda Djibouti [emoji1089] kwa ajili ya mechi sababu ya UKATA na kuja kufanikiwa kusafiri siku ya mechi baada ya kuhangaika sana!!!

[emoji404]Leo hii et anatoka mtu anasema anatoa MOTISHA million 10!! Alikuwa wapi hapo awali!!

[emoji404]Na bado michezo yote Simba SC Tanzania watakayocheza ya TPL basi timu pinzani watapata Bonus Endapo watabahatika kupata Sare... au kushinda.... hii ishaeleweka na nawajuza tu mashabiki ambao mulikuwa hamujui...

[emoji404]Simba wapo ktk vita nzito ili kutetea ubingwa wake na wanatakiwa kuelewa ivyo... na sina shaka na uongozi wa Simba chini ya Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Try Again nadhani washalijua hilo......

kwenu studio[emoji2223][emoji2223][emoji2089]
#Dibahvansports

copy and paste
Hela za motisha Ni za GSM kuhakikisha Yanga anachukua ubingwae kuwafukuza mashabiki.

Hawa viongozi wa serikali wanaotoa hiziehela wote ni Yanga . Wanatumia tu
JamiiForums1212433887.jpg
 
Makonda aliwapa mil 20 KMC baada ya kuifunga Yanga...........sema Magoli msahaulifu sana
 
Back
Top Bottom