Hili la bodi ya mikopo ya elimu ya juu limekaaje?.

HGYTXK

Senior Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Walitangaza kupitia vyombo vya habari toka tarehe 29/04/2013 kuwa ifikapo tarehe 01/05/2013 watakuwa wamefungua kupokea maombi mapya kwa mwaka 2013/2014.Kinachoshangaza mpaka sasa tovuti yao haina chochote kinachozungumzia hili suala kwani tangazo jipya ni la tarehe 05/10/2012.Labda mimi sikuwaelewa walikuwa wanamaanisha nini hasa?.
 
olas.healb.go.tz .....watu wadshaapply na kuprint tayari
 
sasa wewe unaharaka ya nin nkt hata hayo matokeo ya form 6 bado hayajatoka..? hata kama umemaliza mwaka mmoja kabla huwezi apply mpaka uweke hayo matokeo ya form 6..et ambayo wengi wao hawana mpaka sasa hivi cha msingi subiri tu usiwe na haraka...
 
Niko chuo kk,wamenizingua 2012/2013 kwa kuninyima ata 0% na mbaya zaidi wakala na 5,000/= ya appeal achilia mbali 30,000/= ya awali na ata hayo majibu ya appeal hawakutoa na nimeishi maisha magumu sana hii first year.Ila tayari nimeshaziona hizo information OLAS na najaribu tena mkuu huwenda ikawa.
 
pole sana kaka..ila usiwaze ntaku PM maujanja flani hivi kuna mwana wangu flani alitumia bodi wakamgea 100%..!!!ila sio guaranteed kwamba utapata..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…