HGYTXK
Senior Member
- Oct 3, 2011
- 194
- 70
Walitangaza kupitia vyombo vya habari toka tarehe 29/04/2013 kuwa ifikapo tarehe 01/05/2013 watakuwa wamefungua kupokea maombi mapya kwa mwaka 2013/2014.Kinachoshangaza mpaka sasa tovuti yao haina chochote kinachozungumzia hili suala kwani tangazo jipya ni la tarehe 05/10/2012.Labda mimi sikuwaelewa walikuwa wanamaanisha nini hasa?.