Hili la Chris Brown huko Kenya ni kweli au kawaida ya majirani zetu kutafuta kiki?!

Wanawake wengine ni Kiki tu. Alafa akaipike watoto
Nilifanikiwa kuona hii taarifa na mwisho wakaonyesha kuwa huyu dada ameshawahi kupiga picha na watu maarufu ikiwemo Raisi Uhuru Kenyata. Nahisi ni "hobby" yake tu au ndio mambo ya kiki ila safari hii akakutana na kijana matata
 
Heri kwa maana nishida tupu hivi waafrika tutawai kuwa waastarabu maisha yetu yote
 
Back
Top Bottom