Nilifanikiwa kuona hii taarifa na mwisho wakaonyesha kuwa huyu dada ameshawahi kupiga picha na watu maarufu ikiwemo Raisi Uhuru Kenyata. Nahisi ni "hobby" yake tu au ndio mambo ya kiki ila safari hii akakutana na kijana matata