Hili la Diamond Kutumbuzia AFCON

πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni mwanadamu tu
Mmmmhhh mbona una maneno tata kwani kuna mwanadamu kazaliwa na mwanaume?
 
Kwangu mimi Diamond kugewa bendera kuipeperusha ni swala la kiushindani zaidi kati yake na hasimu wake kimuziki.
Karibuni tu mashabiki wake watasema unaona tumegewa mpaka bendera? Nyinyi mmegewa nini?
 
Apongezwe kwanza hilo shavu limetoka huko huko
 
Joti nae anaenda?
 
Hili jipu sema basi tu..nape shule nae naskia ndogo na majukumu ya nafasi yake hayajui
 
Acheni kulalamika wa hovyo nyinyi. Kuchagulia kwa D kwenda Gabon shida nini sio kila kitu mnalalamika tuu nyambavu zenyu. Dogo amejipanga ndiyo maana mambo yanamwendea powa. Kwa mpila gani unaochezwa bongo! mm naona ni wakati sasa wa serikali kuwekeza kwenye mziki kwa maana ndiyo unafanya powa kuitangaza Tanzania lakini sina maana ya kuacha kufanya mikakati thabiti ya kukuza soka bongo I hope tutafika tuu God willing!! Big up diamond big up Mbwana Samatha....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…