Mkuu nyani huwa haoni kundule hulijui hilo..?Lisu kwake alitumia kilugha mbona hukuongea?
Ni mara yangu ya kwanza kumsikia rais akitumia lugha ya wenyeji katika matukio kama haya. Wasaidizi wake wamsaidie kwa ushauri wasikae kimya.Nimemsikia mgombea urais kupitia ccm, mh Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara. Hatukuwahi kusikia rais yoyote waliotangulia wajifanya kama anavyofanya magu. Najiuliza tu, wagombea wengine wa vyama chadema, act, cuf nk wafanye kama anavyo fanya Magu ?
Magu angekuwa rais wa kwanza Tanzania nahakika tungekuwa wakabila wabaya zaidi kuliko Rwanda na tungekuwa tupo vitani saizi, jamaa ni mkabila vibaya sana.
Ulitaka aongee kichaga mkuu wakat huko yupo kwao hawezi kuongea kisukuma kama yupo kanda ya kazkazinNimemsikia mgombea urais kupitia ccm, mh Magufuli, kwenye kampeni zake zinazoendelea huku kanda ya ziwa, amekua akitumia kisukuma mara kwa mara. Hatukuwahi kusikia rais yoyote waliotangulia wajifanya kama anavyofanya magu. Najiuliza tu, wagombea wengine wa vyama chadema, act, cuf nk wafanye kama anavyo fanya Magu ?
umeniwahi!Magu angekuwa rais wa kwanza Tanzania nahakika tungekuwa wakabila wabaya zaidi kuliko Rwanda na tungekuwa tupo vitani saizi, jamaa ni mkabila vibaya sana.
Magufuli ni Icon ya Taifa, hao kina wenje, tundu lisu nk nk hao ni wao kama wao, magu yupo level ya kina mkapa, Jk, mwinyi na nyerere, yeye ndiye anaongoza njia hao wengine wanaiga tu, taifa likiingia kwenye ukabila au udini hataulizwa wenje wala lisu naomba uelewe hivyo. Anaetakiwa kukemea hayo ni yeye, sasa hebu niambie wabunge wote zaidi ya 300 kila mtu afanye kampeni kwa lugha yake nini hatma yake ?
Kwani Singida ameshafanya kampeni tayari nijuavyo alianzia Dar....Arusha...Mwanza..shinyanga na leo TaboraLisu kwake alitumia kilugha mbona hukuongea?