Hili la Emmanuel Okwi na mashabiki wa Simba limenichekesha sana!.

Hili la Emmanuel Okwi na mashabiki wa Simba limenichekesha sana!.

Tafadhali kaka simba sio timu ya ccm fanya yako yarikodi zakubebwa stupid
 
Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.

Simba nguvu moja.
ok
 
Asante mkuu.
Ngasa naye aliighalimu sana timu ya simba.
Utakuta simba inacheza na yanga, Ngasa akifika ktk goli la yanga yeye na goli anapiga buuu..njee.
La anajidondosha maksudi ili asifunge.
Wachezaji wa ndani sasa hivi tunawaangalia sana.
Ndo maana Ajibu kama tunamwona anaipenda yanga ni bora aende hata awe mzuri vipi.
Hatutaki mamluki kwa sasa.
Mwakani tunataka ubingwa wa
VPL
FA
Sport Pesa
nk.
Hatunaga utani kwenye usajiri
huu.
Okwi hajawahi kuwaacha salama Yanga FC.
 
Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
Sasa maswahaba walikuwa dhoofu lhali akitajwa Allah,wakifikiria mota na kufa ...tujitahidi tubadilimshe mitazamo yetu
 
Aje Okwi Simba ili Yanga tumpate na kumrekebisha Mavugo Tambwe style
 
Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.

Simba nguvu moja.
Kwa akili hizi mtasubiri sana. Matatizo ya uongozi mnawasukumia wachezaji!!?
 
97359c3ab7f75c13560e653ef43ab07c.jpg
 
Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.

Simba nguvu moja.
wachezaji soka wako kazini.

Kwenye soka la Bongo ukiendekeza Mapenzi na klabu Fulani unakufa masikini.

Always go for greener pasture.

Wakostaafu soka wanapatashida sana .sometimes wanajutia kwann waliendekeza mapenz na vilaba badala ya kucheza soka la manufaa....
 
Ukisema mafanikio ya soka letu labda mchazaji aende kucheza nchi za Ulaya na Amerika.
Hivi vilabu vya Simba na Yanga kwa miaka yote hii zina mafanikio gani ?
Hata inapochukua ubingwa wa ligi baada ya hapo kuna nini kizuri ?
Ni lini tumefika hatua ya fainali ya mashindano ya vilabu vya Afrika au hata kuchukua ubingwa ?
Usajiri wetu sisi ni wa kucheza hapahapa na kuishia hapahapa.
Hapa hakuna wa kujisifia
Sio Yanga Wala Simba.
 
OKWI hajawahi kuwaacha Yanga salama kivipi?

Ebu rudi hapo juu kwenye Takwimu ,uzisome vyema kabisa...

Misimu 4 yanga anabeba 3 yeye akabeba 1.
Amewahi kuwapiga yeboyebo goli moja akiwa temeke akafunga mbagala
 
Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
Nakushauri bure mdogo wangu ikiwa inafkia hatua hiyo uwe unazma vyombo vya habr na mawacliano ikiwezekana kujifungia room
 
Back
Top Bottom