joshua siao
Senior Member
- Jun 3, 2017
- 174
- 100
okOkwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.
Simba nguvu moja.
Asante mkuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]GENTAMYCINE Kuna swali LILILOTUKUKA huku Mkuu.
Sasa maswahaba walikuwa dhoofu lhali akitajwa Allah,wakifikiria mota na kufa ...tujitahidi tubadilimshe mitazamo yetuYani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]
Kukosa ubingwa miaka minne mfulilizo hakujawahi kumuacha mtu salama hata kidogo5-0 hazjawahi kumuacha mtu salama
Kwa akili hizi mtasubiri sana. Matatizo ya uongozi mnawasukumia wachezaji!!?Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.
Simba nguvu moja.
wachezaji soka wako kazini.Okwi hivi sasa tunaye hapa Msimbazi, hajasaini bado, mazungumzo yanaendelea, nadhani mapema wiki ijayo anamwaga wino.
Simba SC tunawapenda wachezaji wenye mapenzi na timu yetu.
Ni heri tumsajiri mchezaji mzee anayeipenda timu kuliko vijana mamluki wenye shida ya pesa pekee ambao huwa wanaighalimu sana timu.
Tumeshajifunza kwa Yondani, Kessy, na hao wengine.
Simba nguvu moja.
Ukisema mafanikio ya soka letu labda mchazaji aende kucheza nchi za Ulaya na Amerika.wachezaji soka wako kazini.
Kwenye soka la Bongo ukiendekeza Mapenzi na klabu Fulani unakufa masikini.
Always go for greener pasture.
Wakostaafu soka wanapatashida sana .sometimes wanajutia kwann waliendekeza mapenz na vilaba badala ya kucheza soka la manufaa....
Hata madrid alikaa miaka 5 wa sita akachukua DoubleKukosa ubingwa miaka minne mfulilizo hakujawahi kumuacha mtu salama hata kidogo
Amewahi kuwapiga yeboyebo goli moja akiwa temeke akafunga mbagalaOKWI hajawahi kuwaacha Yanga salama kivipi?
Ebu rudi hapo juu kwenye Takwimu ,uzisome vyema kabisa...
Misimu 4 yanga anabeba 3 yeye akabeba 1.
Duh....
Sawa hizo ni akili za kibashite,,tupe ukweli wa akili zako kuhusu okwiHzo ni akili za kibashite tu hata hjielewi
Nakushauri bure mdogo wangu ikiwa inafkia hatua hiyo uwe unazma vyombo vya habr na mawacliano ikiwezekana kujifungia roomYani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali. [emoji24] [emoji85]