Stanley Mims
Member
- Aug 29, 2020
- 47
- 86
Kwani wamekazimisha??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno "ask" kwa kingereza Ni polite language ya kumaanisha "order"Mleta mada unaibua taharuki kwa kushindwa kutafsiri habari kama ilivyo.
Unasema FIFA kulazimisha wakati Infantino kasema wataziomba nchi.
Kuna tofauti kati ya kulazimisha (force) na kuomba (ask).
Nimenukuu vipengele alivyosema Infantino vinavyomaanisha kuomba (ask), na siyo kulazimisha (force).
Ombo linaweza kukubaliwa au likakataliwa. Tusihamishie maisha na siasa za Tanzania duniani kote jamani, mana Tanzania Mwenyekiti wa CCM akiomba jambo, lazima lifanyike wakati katika ombi kuna hiyari ya kufanya au kutofanya.
Ngoja na mimi nijaribu kutafsiri na Kiingereza changu cha kuunga unga!
"FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele"
"Fifa itaziomba nchi kukipa kiwanja jina la mkongwe wa soka Pele"
"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele,"
"Tunakwenda kuomba kila nchi duniani kukipa kiwanja kimoja jina la Pele"
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Naungana na wewe lakini ndio wameshaamua tufanye nini?.Habari zenu wanasoka..
Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..
Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?
This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..
Nini maoni yako? [emoji116]
========
View attachment 2468468
Santos, FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele, the head of the sport's governing body, Gianni Infantino, said Monday at the late icon's wake.
Infantino was in the city of Santos, Brazil, to pay his final respects to the player widely considered the greatest of all time, who died Thursday at the age of 82.
"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele," Infantino told journalists at the Vila Belmiro, the stadium where the player known as "The King" first exploded onto the world stage with his exploits for his longtime club, Santos FC.
Attending the 24-hour wake along with the heads of the South American and Brazilian football confederations, Infantino was among the first to pay homage before Pele's open casket, which was displayed in the middle of the field at Vila Belmiro stadium.
"We're here with great sadness," Infantino said. "Pele is eternal. He's a global icon of football."
FIFA had already flown the flags of the world at half-mast Friday outside its headquarters in Zurich in honor of Pele, whom the organization has named as the greatest player of the 20th century.
Pele, the only player in history to win three World Cups, died at a Sao Paulo hospital after a long battle with cancer.
Monday's wake will be followed by a funeral procession through the streets of Santos Tuesday, then a private interment ceremony.
eeNeno "ask" kwa kingereza Ni polite language ya kumaanisha "order"
ni taifa huruUpuuzi huo,sie Ni Taifa huru hatuamuliwi na Wazungu
Umezaliwa 2001 utajuaje faida ya Pele? Kabla ya Pele soka ulikuwa mchezo wa maguvu na Bora liende. Ni Pele wa Santos aliyegeiza fikra za dunia na kuifanya soka kuwa entertaining game Kwa skills zake. Binadamu aliyetangazwa National trophy siyo wa kawaida tukubali.Habari zenu wanasoka..
Rais wa FIFA Infatino amezitaka Nchi zote wanachama wake Kuhakikisha kiwanja kimojawapo kinapewa jina la nguli wa soka aliyekufa bwana Pele..
Binafsi sijapenda hii dhana ya kulazimishana maana huyo Pele alikuwa Ni mtu aliyeleta faida kwa Nchi yake ya Brazil na klabu zake Sasa die wengine kina Tanzania tunafaidikaje nae Hadi apewe kumbukimbu kwenye Nchi yetu?
This makes no sense,kule walikofaidika nae ndio wakiona umuhimu wa kumpa kumbukimbu wafanye hivyo Ila sio kulazimishana..
Nini maoni yako? [emoji116]
========
View attachment 2468468
Santos, FIFA will ask all the world's countries to name a stadium for Brazilian football legend Pele, the head of the sport's governing body, Gianni Infantino, said Monday at the late icon's wake.
Infantino was in the city of Santos, Brazil, to pay his final respects to the player widely considered the greatest of all time, who died Thursday at the age of 82.
"We’re going to ask every country in the world to name one of their football stadiums with the name of Pele," Infantino told journalists at the Vila Belmiro, the stadium where the player known as "The King" first exploded onto the world stage with his exploits for his longtime club, Santos FC.
Attending the 24-hour wake along with the heads of the South American and Brazilian football confederations, Infantino was among the first to pay homage before Pele's open casket, which was displayed in the middle of the field at Vila Belmiro stadium.
"We're here with great sadness," Infantino said. "Pele is eternal. He's a global icon of football."
FIFA had already flown the flags of the world at half-mast Friday outside its headquarters in Zurich in honor of Pele, whom the organization has named as the greatest player of the 20th century.
Pele, the only player in history to win three World Cups, died at a Sao Paulo hospital after a long battle with cancer.
Monday's wake will be followed by a funeral procession through the streets of Santos Tuesday, then a private interment ceremony.
NAMI nilitaka nimwambie hili. Hapo jamaa katoa pendekezo. Sio amri. Sasa mleta mada yeye kachukulia kua ni amri au lugha ya malkia ni shida?Ni pendekezo tu kwa kumwenzi nguli huyo aliye tangulia mbele za haki ukisema umelazimishwa unakuwa unakosea pendekezo haliwezi kuwa lazima punguza chuki na hasira.