Hili la FIFA kulazimisha viwanja vya nchi wanachama wake kupewa jina la Pele limekaaje?

Neno "ask" kwa kingereza Ni polite language ya kumaanisha "order"
 
Naungana na wewe lakini ndio wameshaamua tufanye nini?.

Mimi napendekeza tujitoe FIFA tuanzishe "FIFA" ya kwetu.
 
Me nadhani FIFA President alitoa maoni... Taarifa inasema "Will ask" kama itafaa.... Okay hakulazimisha kama unavyoripoti wewe hapo...
 
Umezaliwa 2001 utajuaje faida ya Pele? Kabla ya Pele soka ulikuwa mchezo wa maguvu na Bora liende. Ni Pele wa Santos aliyegeiza fikra za dunia na kuifanya soka kuwa entertaining game Kwa skills zake. Binadamu aliyetangazwa National trophy siyo wa kawaida tukubali.
 
Ni pendekezo tu kwa kumwenzi nguli huyo aliye tangulia mbele za haki ukisema umelazimishwa unakuwa unakosea pendekezo haliwezi kuwa lazima punguza chuki na hasira.
NAMI nilitaka nimwambie hili. Hapo jamaa katoa pendekezo. Sio amri. Sasa mleta mada yeye kachukulia kua ni amri au lugha ya malkia ni shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…