GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Weka sababu zenye mashimo sio nadharia na mihemkoRais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
Anawauza sana Wachezaji wetu mahiri.Weka sababu zenye mashimo sio nadharia na mihemko
Mpira biashara mazeee ....Bangala ana shida nidhamuAnawauza sana Wachezaji wetu mahiri.
Nakuwa Mjinga Siku hizi kwakuwa Wewe umekuwa Mpumbavu wa Kutukuka.HV hunaga ishu zingine za kuleta Huku hata la bandari HV ulikwenda shuleni kusomea ujinga ..kwann unakuwa mjinga Kia's hiki
Unaonaje nikikuoa kwamra ya Pili?Kaka yangu Popoma uliyetukuka π€π€π€ Eng hatoki leo wala kesho, tunajua mnajua akiwepo ubingwa, mnausikia Jangwani tu.
Eng kazia hapohapo π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
Umeanza lini kushabikia yanga SC??Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.