luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa,
Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo msemaji huyo Bw.Haji Manara alipotoa kauli ya kebehi na kauli ambayo kimsingi ni ufinyu wa fikra katika maswala mazima ya lugha, Haji alihoji inakuwaje manager wa mchezaji hajui hata kutunga sentensi kwa lugha ya English.
...Bw Haji katika hili ameonyesha ni mtumwa ktk kuthamini lugha za kigeni, anapaswa atambue wapo mameneja wa wachezaji wakubwa na sio wote hujua English kiufasaha.