Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

Haji tangu aindoke Simba ameshapotea hana mvuto tena kwenye media so anachofanya ni kupush ili arudi tena Kuna muda mnampuuzia tu
 
Basi hata mwana habari meneja ana mkali ma,

Ila ukicheki ile clip ya Haji wakati wanacheza na wale wanaijeria kule kwa wapopo embu tazama jinsi Haji anavyo struggle kutafuta misamiati
 
Ndio shida ya kukimbia shule na kwenda kujifanya mchambuzi.

Ndio maana karia alisema warudi shule.
Haji yuko sawa.
 
Back
Top Bottom