frankkilulya JF-Expert Member Joined Apr 6, 2022 Posts 590 Reaction score 1,494 Jun 15, 2022 #21 Haji tangu aindoke Simba ameshapotea hana mvuto tena kwenye media so anachofanya ni kupush ili arudi tena Kuna muda mnampuuzia tu
Haji tangu aindoke Simba ameshapotea hana mvuto tena kwenye media so anachofanya ni kupush ili arudi tena Kuna muda mnampuuzia tu
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Jun 15, 2022 #22 Hamshangai Nasreddine Nabi mwenyewe hajui English.
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jun 15, 2022 Thread starter #23 Basi hata mwana habari meneja ana mkali ma, Ila ukicheki ile clip ya Haji wakati wanacheza na wale wanaijeria kule kwa wapopo embu tazama jinsi Haji anavyo struggle kutafuta misamiati
Basi hata mwana habari meneja ana mkali ma, Ila ukicheki ile clip ya Haji wakati wanacheza na wale wanaijeria kule kwa wapopo embu tazama jinsi Haji anavyo struggle kutafuta misamiati
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Jun 15, 2022 #24 Ndio shida ya kukimbia shule na kwenda kujifanya mchambuzi. Ndio maana karia alisema warudi shule. Haji yuko sawa.
Ndio shida ya kukimbia shule na kwenda kujifanya mchambuzi. Ndio maana karia alisema warudi shule. Haji yuko sawa.