Hili la Joel ( Joe ) na Kujirusha Kwake hadi Kufa Ghorofa la DERM Makumbusho linaanza kunipa Mashaka Kifikra na Kimtizamo

Mkuu [mention]GENTAMYCINE [/mention] hiyo aya ya mwisho ungeifungulia siredi yake inayojitegemea
 
Kwenye ukristo ukioa mke wa pili haisebiki kama ni ndoa kwakuwa sacrament hio haitolewi mara mbili mkiwa hai....kwa kifupi unatengwa na kanisa
 
Mbna kwenye mazishi kuna shada LA maua limeandikwa "SON" na liliwekwa kaburini.
Ikimaanisha ni mtoto wa wazazi wake. Lingeandikwa 'dad/father' ingemaanisha limewekwa na mtoto/watoto wake.
 
Joel ameoa mwaka 2014
Hadi May 2023 alikua hawa mtoto na huyo mke wake

Inasemekana Joel alikua anahisi mkewe ndio mwenye matatizo

Hivyo akataka kuongeza mke
Anahisi? Yawezekana aligundua tatizo lipo kwake kaona isiwe tabu!
 
iyo ya mwisho kuhusu yanga ndo kabambe...
 
Anko wako aliyefia. Marekani ameshaletwa nchini au bado?
 
Mwanaume alikuwa anashidaa ,Nina Imani angakuwa na mtoto wa nje kama mke wake hazai na wangeishi tu kama alikuwa alimpenda mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…