Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikimaanisha ni mtoto wa wazazi wake. Lingeandikwa 'dad/father' ingemaanisha limewekwa na mtoto/watoto wake.Mbna kwenye mazishi kuna shada LA maua limeandikwa "SON" na liliwekwa kaburini.
Anahisi? Yawezekana aligundua tatizo lipo kwake kaona isiwe tabu!Joel ameoa mwaka 2014
Hadi May 2023 alikua hawa mtoto na huyo mke wake
Inasemekana Joel alikua anahisi mkewe ndio mwenye matatizo
Hivyo akataka kuongeza mke
iyo ya mwisho kuhusu yanga ndo kabambe...Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu?
Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi Wakristo nao wanaruhusiwa Kuoa Wake Wawili na kuendelea Kama Waislamu?
Kuna moja hiyo ya ndani kabisa nimeisikia / nimeinyaka kutoka kwa Mmoja wa Watu wa Karibu ila ngoja nibaki nayo tu Moyoni huku nikimtakia Marehemu Joel ( Joe ) alale mahala pema Peponi.
Yanga SC inashinda Jumapili tarehe 28 May, 2023 na hata Mechi yake ya marudiano Jumamosi ijayo ya tarehe 3 June, 2023 pia Watashinda na kuwa Mabingwa wapya na kwa mara ya Kwanza kwa Tanzania katika Kombe la CAFCC.
Watu wakilitaka lao linakuwa tu Oky?
Anko wako aliyefia. Marekani ameshaletwa nchini au bado?Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu?