Hili la Kanisa la KKKT kuwa na wachungaji na maaskofu wanawake ni chukizo

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,569
Reaction score
43,614
Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu?

Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani.

Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
 
Kama wanaovuja damu hawafai kusimama hapo mbele,
basi hata kanisani hawatakiwi kuwepo kusali wasiovuja damu.
 
Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu?

Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani.

Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
Kuna kanisa linaongoza Kwa ufiranaji kama Kanisa Moja la mitume? Ukiacha Hilo Kuna utapeli wa pesa.

Kimsingi dini zenu hizi za Wazungu hamna Haki ya kuzihoji maana hama chenu
 
Back
Top Bottom