jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Come on man......hii si sawa.Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini........
Kuna kanisa linaongoza Kwa ufiranaji kama Kanisa Moja la mitume? Ukiacha Hilo Kuna utapeli wa pesa.Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu?
Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani.
Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.