technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok.
Sasa mnaifungia jamii forum?
Mnajua consequences zitakazojitokeza? Mnataka watu tupige porojo za mitano Tena tu hamtaki mawazo kinzani?.
Nyie mnaojinasibu watawala Bora ndio mmeamua kuua biashara za mtandaoni?
Hivi matumizi ya VPN mpaka tcra wanaitumia vpn, Rais anatumia VPN hii Ni sawa?
Mnajua ni vijana kiasi gani tunakula kupitia internet? Mnachokitafuta mtakipata soon maana wakenya walivyowafanyia cyber attack hamkuelewa somo mnataka extra ?.
Nawaambia Samia Kikwete na Rostam mnachokitafuta kuua kila ajira ya vijana inayojitokeza kwenye internet mtakipata soon.
See you soon, Moyo wangu unavuja damu kuona Mimi na vijana wenzangu tunakosa pesa kupitia internet kwa sababu ya uchawi na ulafi wa madaraka wa Serikali na genge lake.
Fungue mitandao haraka, fungueni Facebook, Instagram, Tiktok,Twitter na jamii forum. Hii Ni nchi ya kidemocrasia Kama hamtaki upinzani vifuteni vyama vya upinzani.
Imagine hata call za kawaida zinakoroma tu baadhi ya mitandao sijui tunaelekea wapi moyo wangu unavuja damu naumia Taifa linakufa kiroho na kimiwili
Narudia fungueni mitandao ya kijamii