Hili la kufungia mitandao ni hatari kwa usalama wa Taifa

Usijali siku za siku Samia atakuwa anapigiwa Simu na Wassira watu wako barabarani lakini hana chanzo cha Habari Kuthibitisha, simu yake hadi awe na VPN
 
Wacha ifungwe , humu watu wamezidi kumtukana rais
Kwahiyo huyo rais ndio aathiri mamilioni ya watu basi aondoke yeye ila huwezi athiri mamilioni ya watu halafu wewe peke yako ukawa valid Kwa jina la urais tena urais wa kuiba kura.
 
Kwahiyo huyo rais ndio aathiri mamilioni ya watu basi aondoke yeye ila huwezi athiri mamilioni ya watu halafu wewe peke yako ukawa valid Kwa jina la urais tena urais wa kuiba kura.
Huyu mama sijajua ana Malengo yapi na Tanzania
 
Hivi usipojihusisha na ya majirani utang'amua vipi mke/mme anachepuka.!

Wambea wapewe maua yao kwa kweli
 
Hawataki TULAANI WIZI, UFISADI, UBINAFSI, UTEKAJI, UUAJI, UNYANYASAJI, UBAKAJI, TABIA MBAYA ZA VIONGOZI...
WANATAKA..
TUSIFIE, KILA MATENDO LAO HATA KAMA NI MABAYA!
HAIWEZEKANI KABISA KABISA KABISA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…